SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA FASIHI SIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Baini Tanzu za fasihi

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kubainisha, kuhakiki na kutunga kazi za fasihi simulizi kwa kiswahili

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze; Kubainisha tanzu za fasihi simulizi.

5. MAIN TOPIC
FASIHI SIMULIZI

6. SUB-TOPIC
4.1 Ubainishaji wa Tanzu za Fasihi simulizi

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Kwanza, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Kanda za sauti na Video zenye kazi za fasihi simulizi

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 waongoze wanafunzi waorodheshe tanzu mbalimbali za fasihi simulizi wanazozifahamu au wasikilize kanda zenye kazi za kifasihi simulizi. wanafunzi waorodheshe tanzu mbalimbali za fasihi simulizi wanazozifahamu au wasikilize kanda zenye kazi za kifasihi simulizi. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 Ongoza Wanafunzi wajadili maumbo ya kazi hizo na kuyaweka katika makundi ya mfanano. Wanafunzi wajadili maumbo ya kazi hizo na kuyaweka katika makundi ya mfanano. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 waongoze wanafunzi kufikia hitimisho la tanzu za fasihi simulizi. Mwanafunzi afikie hitimisho la tunzo la fasihi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 waongoze wanafunzi kufikia hitimisho la tanzu za fasihi simulizi. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA FASIHI SIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256